UPANUZI BARABARA YA BAGAMOYO WAANZA...
Katika kile kinachoonekena ni kukabiliana na msongamano barabarani, mamlaka zinazohusika zimeanza kushughulikia upanuzi wa barabara ya Bagamoyo kipande cha Bamaga-Sayansi mbele ya Chuo cha Posta Kijitonyama kama 'mzururaji' wetu alivyokuta leo mchana kazi ikiwa imeshika kasi. (Picha na ziro99blog).
1 comment:
tusitumie kingereza kama kuandika hatujui tunajiaibisha
Post a Comment