Showing posts with label Katuni. Show all posts
Showing posts with label Katuni. Show all posts

Sunday, October 12, 2014

BINTI WA MBUNGE WA TEMEKE ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014



Siti, binti wa Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu, usiku wa kuamkia leo ameibuka kidedea katika kinyang’anyiro cha kumsaka mrembo wa Tanzania  (Redd’s Miss Tanzania 2014) katika shindano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
Mlimbwende huyo, ambaye kablaya kutwaa taji hilo alitawazwa kuwa Miss Temeke, aliwabwaga warembo wengine 30 waliokuwa wakiwania taji hilo mwaka huu.
Kwa ushindi huo, Siti amejinyakulia kitita cha Shilingi milioni 18, ambapo ukumbini hapo alikabidhiwa hundi ya thamani ya Shilingi milioni 10 kwa maelezo kwamba kiasi kilichobaki cha Shilingi milioni 8 atakabidhiwa baada ya shindano hilo.
Siti ataiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Miss World mwakani, ambapo mwaka huu Tanzania itawakilishwa na mshindi wa mwaka jana, Happiness Watimanywa kutoka Dodoma.

Thursday, September 18, 2014

HAWA NDIO WATAKAOCHEZESHA MECHI ZA LIGI KUU YA VODACOM


Ikiwa imebaki siku moja kufunguliwa kwa pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2014-15, mambo tayari yamenoga baada ya kukamilika kwa safu ya waamuzi watakaochezesha mechi za ufunguzi wiki hii.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania, Silas Mwakibinga aliliambia gazeti hili jana, orodha ya waamuzi iko tayari na kuwataka watakaochezesha katika michezo hiyo kutenda haki.
Katika mchezo wa Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar ya Mvomero, Morogoro, mechi itakayopigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri itachezeshwa na mwamuzi Dominick Nyamisano kutoka Dodoma.
Wakati huo, mabingwa watetezi, Azam FC itakuwa mwenyeji wa Polisi ya Morogoro kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Dar es Salaam katika mchezo utakaochezeshwa na mwamuzi Abdallah Kambuzi kutoka Shinyanga.
Mwamuzi wa Dar es Salaam, Hashim Abdallah atakuwa kwenye Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga kuziamua timu mbili ngeni katika ligi msimu huu, wenyeji Stand United na Ndanda FC ya Mtwara.
Mchezo mwingine utakuwa ni kati ya Mgambo JKT ya Tanga dhidi ya Kagera Sugar ya Bukoba utakaochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga na kuchezeshwa na mwamuzi Kennedy Mapunda wa Dar es Salaam.
Aidha, Ruvu Shooting ya Pwani itacheza na Tanzania Prisons ya Mbeya kwenye Uwanja wa Mabatini, Mlandizi na kuchezeshwa na mwamuzi David Paulo wa Mtwara.
Washindi wa tatu wa ligi hiyo msimu uliopita, Mbeya City itawakaribisha JKT Ruvu ya Pwani kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya katika mchezo utakaochezeshwa na Mohamed Theophil wa Morogoro.
Baada ya michezo hiyo ya Jumamosi katika mchezo wa Jumapili, Simba watakuwa ni wenyeji wa Coastal Union ya Tanga kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, na mwamuzi Jacob Adongo wa Mara atachezesha.
Kwa mujibu wa Mwakibinga, waamuzi hao wa kati ni miongoni mwa waamuzi wa kati 21 watakaochezesha ligi hiyo iliyopangwa kufikia tamati Aprili 18, mwakani. Kutakuwa na waamuzi wasaidizi 46.
Mwakibinga alisema anategemea waamuzi hao watachezesha mchezo huo kwa kufuata sheria 17 za soka bila kupendelea na kwa haki.
“Hiyo ndio orodha ya kwanza, kuna nyingine itatoka kwani wapo wengi, na wasaidizi wao tayari, tuna imani watazingatia maadili ya kazi yao,” alisema Mwakibinga.

Friday, August 29, 2014

OKWI AZICHEZEA AKILI SIMBA NA YANGA


Mshambuliaji matata wa Uganda Emmanuel Okwi sasa ni kama ameamua kucheza na akili za viongozi wa Simba na Yanga.\
Wakati juzi Rais wa Simba Evanse Aveva akisema hawana nafasi ya Okwi kwenye usajili wao, jana Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hanspoppe alitangaza mchezaji huyo ameandika barua ya kuombwa kusajiliwa katika klabu hiyo ya Msimbazi nao wamemkubalia. 
Hata hivyo, Okwi ana mkataba na Yanga aliosaini nao Desemba 15 mwaka jana kwa  miaka miwili na nusu na juzi alikanusha tetesi kwamba anataka kujiunga na timu ya WadiGalde ya Misri akisema yeye ni mchezaji halali wa Yanga na bado ana mazungumzo mazuri na viongozi wake. 
“Watu wanazusha maneno kwamba nataka kwenda kucheza soka nje, nashangaa yanatoka wapi, mimi bado ni mchezaji halali wa Yanga,” alisema Okwi. 
Yanga imemshitaki Okwi kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)  ikitaka afungiwe kucheza soka kutokana na kukiuka baadhi ya vipengele kwenye mkataba wake likiwemo kufanya mazungumzo na klabu ya WadiGalde FC ya Misri. 
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jana, Okwi alisema hadaiwi chochote na Yanga kwani wao ndio waliovunja naye mkataba wakidai kuwa aliwakosesha ubingwa. 
“Yanga hawanidai, wao ndio walovunja mkataba na mimi, wakiniambia kuwa nimewakosesha ubingwa msimu uliopita, sasa wananidai nini,” alisema. 
Aidha Okwi alikiri kupata barua ya TFF ikimfahamisha kwamba Yanga imemshitaki, ambapo alisema yupo tayari kutoa ushirikiano katika hilo. 
Kabla ya kusajiliwa Yanga mwaka jana, Okwi aliichezea Simba kwa misimu mitatu na baadaye akauzwa Etoile du Sahel ya Tunisia ambapo hata hivyo hakufanya vizuri na kuamua kurudi kwao Uganda katika timu ya SC Villa. 
Okwi alirudi Villa kwa msaada wa Fufa (Shirikisho la Soka la Uganda) ambalo liliiomba CAF kumruhusu acheze kwa muda ili kulinda kiwango chake ambapo Shirikisho hilo la Soka la Afrika lilimruhusu kucheza kwa miezi sita, lakini kabla hajaitumikia akaibukia Yanga. 
Kitendo cha Yanga kumsajili Okwi kilizua utata Simba kwani ilimtoa mchezaji huyo Etoile bila malipo kwa makubaliano wangelipwa kwa awamu, mpaka sasa Simba haijalipwa fedha zao na kesi hiyo ipo Fifa. (Shirikisho la Soka la Kimataifa).

Wednesday, August 27, 2014

NGASSA KINARA WA MABAO LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Licha ya Yanga kutolewa mapema kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini mshambuliaji wake Mrisho Ngassa ndiye anayeongoza kwa upachikaji mabao mpaka sasa.
Michuano ya Ligi ya Mabingwa ipo hatua ya nusu fainali sasa ambapo  TP Mazembe ya Kongo (DRC)  itakutana na ES Setif ya Algeria na AS Vita ya Kongo pia  itakutana na CS Sfaxien ya Tunisia.
Yanga ilicheza raundi mbili za awali, dhidi ya Komorozine ya Comoro na dhidi ya Al- Ahly ya Misri.
Kwa mujibu wa taarifa ya tathmini iliyotolewa jana  kwenye mtandao wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Ngassa anaongoza kwa mabao sita.
Katika michuano hiyo, Ngassa alicheza mechi nne za raundi za awali ambapo katika mechi dhidi ya Komorozine alifunga mabao matatu katika kila mechi, nyumbani na ugenini na kufanya idadi ya mabao hayo sita.
Katika mechi ya nyumbani dhidi ya Al- Ahly, Yanga ilishinda bao 1-0 lakini ikatolewa kwa mikwaju ya penalti ugenini baada ya Ahly kupata bao moja na kufanya matokeo kuwa sare ya bao 1-1 na hivyo mechi kuamuliwa kwa mikwaju ya penalti.
Wanaomfuatia Ngassa kwa mabao ni Haithem Jouini (Esperance, Tunisia), Edward Takarinda Sadomba (Al Ahli Benghazi, Libya), Iajour Mouhssine (Raja Club Athletic, Morocco) na Knowledge Musona (Kaizer Chiefs, Afrika Kusini) wenye mabao matano kila mmoja ambao timu zao pia zimetolewa kwenye michuano hiyo.
Mubele Ndombe wa AS Vita ndiye pekee mwenye mabao matano na timu yake imekwenda nusu fainali.Wenye mabao manne ni Benyoussef Fakhreddine (Sfaxien, Tunisia), El Hedi Belameiri (E. S. Setif, Algeria,) na Abdelrahman Ramadan Fetori (Benghazi,) Abdoulaye Ssissoko (Stade Malien, Mali), Ahmed Akaichi (Esperance), Akram Djahnit (E. S. Setif), Cesair Gandze (AC Leopards, Kongo), Driss Mhirsi (Esperance), Etekiama Agiti Taddy (AS Vita) Kingston Nkhatha (Kaizer Chiefs,) na Lamine Diawara wa Stade Malien wana mabao matatu kila mmoja.

Sunday, August 24, 2014

REAL MADRID WAFANYA KWELI MBELE YA RAIS KIKWETE DAR



Magwiji wa Real Madrid wamethibitisha kuwa timu yao ndio miamba ya soka duniani, baada ya kuishinda timu ya Tanzania XI kwa mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mbele ya Rais Jakaya Kikwete, wachezaji hao wa zamani wa Real Madrid wakiongozwa na Luis Figo, walitandaza soka ya kuvutia na kuwafurahisha maelfu ya mashabiki wa soka.
Real Madrid kwa sasa ndio miamba ya soka Ulaya ikiwa imetwaa taji la 10 Mei mwaka huu, na miongoni mwa waliokuja, wamechangia katika kupatikana kwa mataji hayo muhimu.
Mchezaji Ruben de la Red alikuwa mwiba mkali kwa Tanzania XI ikiongozwa na wanasoka nyota wa zamani wa Tanzania, baada ya kufunga mabao yote matatu likiwamo la penalti.
Bao pekee la Tanzania halikufungwa na mchezaji wa nyota hao wa zamani wa Tanzania, bali alijifunga mchezaji wa Real Madrid.
Bao la Tanzania XI lilipatikana katika dakika ya 45, likifungwa na mchezaji wa Real, Roberto Rosas kutokana na kona iliyochongwa na Mecky Maxime kutoka mashariki mwa uwanja.
Madrid walijipatia bao la kuongoza katika dakika ya 15 likifungwa na Ruben de la Red kwa pasi ya nyota wa zamani duniani, Figo.
Hadi mapumziko, Tanzania XI na Real Madrid, zilikuwa sare ya bao 1-1.
Kipindi cha pili, Real Madrid iliendeleza kutandaza soka ya kuvutia huku Figo akiwa mwiba mchungu kwa Tanzania XI ambayo ilionekana kupwaya kipindi hicho.
Hali hiyo ilimpa mwanya De la Red kufunga bao la pili kwa penalti baada ya Habib Kondo na Mtwa Kihwelo, kumchezea dhambi mmoja wa wachezaji wa Real, mfungaji kupiga penalti nzuri iliyompita kipa Peter Manyika.
Kama hiyo haitoshi, mchezaji huyo alifunga bao la tatu baada ya kuwapiga chenga walinzi wa Tanzania XI na kipa wao Manyika, na kukwamisha mpira wavuni.
Bao hilo lilimfurahisha Rais Kikwete na viongozi wengine wa jukwaa kuu ambao walicheka sana kutokana na jinsi lilivyofungwa, huku wachezaji wa Tanzania wakiwa wameanguka chali.
Kipindi cha kwanza, Dua Said aliifungia Tanzania XI, lakini bao hilo lilikataliwa.
Mbali ya Figo aliyekuwa Mwanasoka Bora wa Ulaya mwaka 2000 na Mwanasoka Bora Duniani mwaka 2001, pia alikuwapo nyota Christian Karembeu katika kikosi cha Madrid.
Awali, Tanzania XI ilianza na kipa Mohammed Mwameja na miongoni mwa wachezaji waliocheza jana kwa upande huo, ni manahodha wa zamani wa Stars, Shadrack Nsajigwa, Mecky Maxime na Salum Sued ‘Kussi.’
Wengine waliocheza ni Yusuf Macho, Habib Kondo, Dua Said, Abubakari Kombo, Athumani China, Mtwa, Shaaban Ramadhani, Sabri Ramadhani, Kally Ongala, Madaraka Selemani, Stephen Nyenge, Mao Mkami, Emmanuel Gabriel, Nassoro Bwanga, Abdul Maneno.
Katika mechi hiyo, timu zilikaguliwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Dk Fenella Mukangara, wakati Rais Kikwete alikuwa mgeni rasmi uwanjani hapo.
Mwishoni mwa pambano, alikabidhi kombe kwa De la Red na kisha akamkabidhi mpira kwa kufunga mabao matatu, huku akiweka saini yake.
Magwiji hao wa Real Madrid ambao wako nchini kwa mwaliko wa Kampuni ya TSN inayomilikiwa na Farough Baghozah, leo itakwenda mkoani Kilimanjaro kutembelea Mlima Kilimanjaro.
Kesho itakuwa mkoani Arusha katika mbuga ya Ngorongoro, na itarejea Dar es Salaam na kuondoka Jumanne ijayo kurejea makwao.

Tuesday, August 5, 2014

FA TIGHTENS RULES ON HEAD INJURIES

Players losing consciousness or suffering concussion will not be allowed to play on next season after the Football Association set out strict guidelines on Tuesday regarding head injuries.
"If there has been a confirmed or suspected period of loss of consciousness, the player must be removed from the field of play, and not be allowed to return," an FA document said.
It said professional players should also undergo baseline neuro-psychological testing at the start of each season and not be allowed to return to action for six days after suffering a head injury causing unconsciousness or concussion.
Head injury charities branded Tottenham Hotspur "irresponsible" last season when goalkeeper Hugo Lloris was allowed to play on despite a heavy blow to the head sustained in a challenge with Everton's Romelu Lukaku during a Premier League match.
The incident raised question marks about clubs' handling of head injuries and sparked a debate in the House of Commons about the dangers to sportsmen and women while world players' union FifPro said the Lloris incident was "unacceptable".
The new guidelines, designed to clarify the club's responsibilities, were welcomed by brain injury association Headway.
"We are pleased to see the football authorities have addressed the serious issue of concussion," said Peter McCabe, chief executive of Headway.
"The measures announced today are a significant step forward in the protection of footballers at all levels and therefore are warmly welcomed.
"The guidelines at all levels, from FIFA to the FA and Premier League, have to date been insufficient and ineffective, as demonstrated by numerous high-profile examples.
"The debacle with Spurs' Hugo Lloris, who was allowed to overrule his club doctor and return to the pitch having sustained a serious head injury in collision with Everton's Romelu Lukaku, was truly shocking.
"Since then, there have been numerous other examples of FIFA and FA guidelines being breached, including two incidents in the World Cup."
Uruguay's Alvaro Pereira and Argentina's Javier Mascherano were both allowed to continue playing during the World Cup despite clear signs of concussion while Germany's Cristoph Kramer appeared to lose consciousness in the final and was only substituted several minutes later.

Sunday, July 27, 2014

REMY FAILS MEDICAL, LIVERPOOL MOVE OFF

Loic Remy's move from QPR to Liverpool has fallen through after the Frenchman failed a medical.
The striker's transfer has been cancelled following his examination, which he underwent in Boston on Tuesday.
The results took longer than usual to come through as the medical took place away from Merseyside. Neither club has commented officially, and the specific issue is not known.
A possible heart defect was revealed in 2010, when Remy joined Marseille from Nice, but the transfer went through after further tests saw doctors give Remy the all-clear.
Back then, it was decided that Remy was still suitable for a career in professional football. However, it is unknown whether the latest problem is related to his cardiovascular, or another issue.
Liverpool had agreed an £8.5m deal to sign Remy from QPR after he impressed on loan at Newcastle last season, earning himself a place in France's World Cup squad.
Brendan Rodgers must look elsewhere to replace Luis Suarez, who has joined Barcelona, though Rickie Lambert arrived before the World Cup.
Liverpool are reportedly close to signing Belgian striker Divock Origi for £12.5m - they had originally planned to loan him back to Lille for the 2014/15 season but may now wish to press the 19-year-old into immediate service.

Saturday, July 26, 2014

NICE BOSS SAYS WORLD CUP KEEPER OSPINA TO JOIN ARSENAL

Arsenal are on the brink of signing Colombia World Cup star David Ospina after Nice boss Claude Puel confirmed his goalkeeper will join the Gunners.
Ospina, who has 44 caps for Colombia, rose to prominence with some impressive performances at the World Cup, where his team lost to hosts Brazil in the quarter-finals.
And following Nice’s 3-2 friendly defeat to Brentford in London on Saturday, Nice manager Puel told Sky Sports that Ospina, 25, had agreed to join the North London club.
"It is confirmed, yes," Puel told Sky Sports News. "At 25 years old it is important for him to experience another championship, so it is a fantastic move for him.
"I think he can take the number one spot at Arsenal because his qualities are very, very strong.
"He is very good with his feet, with his arms, and he knows football. He is a very, very good player."
There is no word from Arsenal but Ospina, available at a cut-price £3million, had looked to be on the brink of moving to the Emirates Stadium after Arsene Wenger let slip that the player would be number two to Wojciech Szczesny.
"You know at the start Szczesny will be the number one, then again we'll be down to performances and, if Ospina shows that he is better, he will play," the Frenchman had told ESPN on Friday.
Ospina will be the third World Cup star to arrive at Arsenal this summer, joining Chile’s Alexis Sanchez and France’s Mathieu Debuchy, who left Barcelona and Newcastle United respectively.
Wenger's side, who won the FA Cup and qualified for the Champions League last season, have also been linked with Southampton duo Morgan Schneiderlin and Calum Chambers, although a move for Real Madrid's Germany midfielder Sami Khedira appears to have stalled.

DIDIER DROGBA RE-SIGNS FOR CHELSEA

Chelsea have announced the return of Champions League hero Didier Drogba on a one-year deal.
Drogba, now 36, left Stamford Bridge in 2012 after scoring the winning penalty in the Champions League final against Bayern Munich after a 1-1 draw over 90 minutes and extra-time.
Drogba told Chelsea's official website: "It was an easy decision - I couldn't turn down the opportunity to work with Jose again. Everyone knows the special relationship I have with this club and it has always felt like home to me.
"My desire to win is still the same and I look forward to the opportunity to help this team. I am excited for this next chapter of my career."
Chelsea announced the deal and welcomed the player back to the club in a Tweet.
He had a spell with Shanghai Shenhua in China before turning out last term for Turkish side Galatasaray, and faced Jose Mourinho's side in the Champions League last 16 where Gala suffered defeat.
He remains a firm fans favourite among the Chelsea diehards with the Stamford Bridge club expected to announce his return before the weekend.
He will sign as a player with a view to becoming part of the coaching staff at the club where he spent eight seasons between 2004-2012 scoring 157 goals.
Jose Mourinho said: "He’s coming because he’s one of the best strikers in Europe.
"I know his personality very well and I know if he comes back he’s not protected by history or what he’s done for this club previously. He is coming with the mentality to make more history.
"His 34 goals in European competition remains a Chelsea record, as do his nine strikes in nine cup finals."
Drogba joined the Blues from Olympique Marseille for £24 million in 2004, at the start of Mourinho's first spell in charge, and scored 157 goals in 342 appearances, hoovering up silverware along the way.
He won three Premier League titles, four FA Cups, two League Cups as well as the Champions League before leaving in 2012.
While Chelsea's billionaire owner Roman Abramovich seemed determined to bring more glamorous centre forwards to the club, with Andriy Shevchenko and Fernando Torres all arriving with lofty reputations, the Ivorian proved immovable.
He remains their record scorer in European competition with 34 goals while his nine strikes in nine cup finals is also a record.
When he left Stamford Bridge two years ago to play for Shanghai Shenhua in China, many thought his career was on the wane with his performances in that final season fluctuating between brilliant and largely ineffective.
Mourinho has decided to bring him back, however, after a successful year in Turkey playing for Galatasaray that showed he still had something to offer at the highest level.
The Portuguese predicted in March, when Galatasaray played Chelsea in the Champions League, that Drogba would one day return to the Chelsea family and said on Friday that there was no emotion or sentiment involved in the decision.

Saturday, July 19, 2014

CHELSEA SIGN FILIPE LUIS FROM ATLETICO MADRID

Chelsea have announced the signing of Atletico Madrid defender Filipe Luis on a three-year-deal.
The Blues reached an agreement to sign the left-back from the Spanish champions on Wednesday and have now agreed terms on a three-year deal.
"Chelsea Football club is delighted to announce the signing of Filipe Luis from Atletico Madrid," read a statement on the club's official website.
"The Brazilian defender has signed a three-year contract and will wear the number five shirt."
The 28-year-old played an integral part for Atleti last season as they won the Primera Division and made it to the Champions League final but the Brazilian is clearly excited by the prospect of playing in England.
"This move is a dream come true for me," he said.
"I now have the opportunity to play for Chelsea, and also in the Premier League.
"I'm very happy and looking forward to getting started and giving my best for the team during the coming seasons."
Filipe Luis now has an opportunity to replace Ashley Cole as Chelsea's first-choice left-back in the long-term. After missing much of the 2013-14 season through injury, veteran England defender Cole left the Blues on a free transfer in June and has since joined Roma.
Natural right-back Cesar Azpilicueta proved an able deputy to Cole and kept hold of his spot when the 33-year-old returned to fitness as Chelsea finished third in the Premier League, but Filipe Luis' arrival will allow the Spaniard to return to his preferred flank.
Filipe Luis joined Atleti from Deportiva La Coruna in 2010 and has made 98 appearances in all competitions for the Madrid side, winning the Europa League in 2012 and the Copa del Rey in 2013 before becoming a league champion.
He has four Brazil caps and was placed on the standby list for the 2014 World Cup in his homeland.

Monday, July 14, 2014

SUPER MARIO WINS THE WORLD CUP FOR GERMANY

Mario Goetze struck a wonderful extra-time winner as Germany beat Argentina 1-0 to claim the 2014 World Cup at the Estadio Maracana.
The Bayern Munich came off the bench to coolly chest and volley home a sublime goal after great work by Andre Schuerlle on the left to end a 24-year wait for Die Mannschaft.
It came with just seven minutes of extra-time remaining and saw Germany secure a fourth world title and become the first European team to win it in South America.
The match had begun at a lightning pace but faded badly in the second period and looked all set for a shoot-out until Goetze struck.
Argentina's Gonzalo Higuain blazed a glorious opportunity wide early on before having his moment of redemption stolen away when he was correctly flagged offside while finishing off a sublime move involving Lionel Messi and Ezequiel Lavezzi.
For Germany super sub Andre Schurrle's effort was beaten away by Sergio Romero before Benedikt Hoewedes somehow contrived to crash a free header against the post from inside the six-yard box on the stroke of half time.
Lionel Messi could and should have made it his World Cup moments after the restart but dragged wide and it proved to be the best of the action until extra-time when Schuerrle tested Romero and Rodrigo Palacio lobbed off target when clear.
Goetze finally made the breakthrough with his wonderful finish and Argentina couldn't recover as Joachim Loew's side held firm to move level with Italy on four World titles - just one behind Brazil.

KEY MOMENTS
Pre-match -
Germany lose Khedira, Argentina unchanged: Germany initially named the same team that hammered hosts Brazil 7-1 in the last four but were forced to bring in Christoph Kramer to replace Sami Khedira (calf problem) at the last minute. Angel Di Maria does not feature from the start for Argentina despite rumours he would be involved.
21' - ARGENTINA CHANCE. WHAT A MISS! A shocking back-header by Kroos puts Higuain clean through but he snatches at the chance and drags it harmlessly wide from the edge of the area.
30' - GOAL DISALLOWED!!! The cross from Lavezzi on the right is ruthlessly tucked home by Higuain just outside the six-yard box but the flag is up and it won't count. It's the right call too.
31' - BLOW for GERMANY: The pre-match replacement is replaced as Kramer comes off and Schurrle takes his place.
37' - GERMANY CHANCE. GOOD SAVE! Romero dives to his right to push away Schurrle's first-time effort after a quick break by the Germans.
40' - ARGENTINA CHANCE. Messi sprints down the right and into the area. The little magician is tight to the byline but somehow gets the ball past Neuer and Boateng comes to the rescue by hooking away from inside his six-yard box.
 45+2' - OFF THE POST! Höwedes has all day to attack a corner four yards out but somehow plants his header against the post with Mueller offside on the rebound. What a miss that was!
47' - ARGENTINA CHANCE! Messi times his run on the shoulder of the last defender perfectly but fires his low shot wide of the far post. He looked odds-on to score there.
82' - GERMANY CHANCE! Close for Kroos as the midfielder arrives on a cut back from the right but slots his side footer wide of the right-hand post from the edge of the box.
92' - GERMANY CHANCE! Sensational start to ET as Romero beats away an effort from Schurrle inside the opening few seconds.
97' - ARGENTINA CHANCE! Palacio lobs Neuer but sees his shot drop wide of the right-hand post after Hummels had missed Rojo's wonderful ball from the left.
113' - GOAL! ARGENTINA 0-1 GERMANY. Goetze breaks the deadlock!!!! Schurrle races down the left and clips a lovely ball into Goetze who chests down before flashing a volley into the corner on the stretch!
TALKING POINT: Are Germany set to dominate? The Germans have finally emerged from their recent role as perennial bridesmaids and proved to be the most consistent side throughout the World Cup. It was a tournament where they came of age and with such a wealth of young talent in the likes of Goetze, Mueller et al they could be set for a Golden era of success.

MAN OF THE MATCH
Bastian Schweinsteiger (Germany):
The Bayern midfielder gave an imperious display at the heart of his team. Inventive in attack and solid in his defensive work, he covered every blade of grass on a night where he received a bloody face for his troubles. It will all have been worth it when he takes a look at that winners' medal.

PLAYER RATINGS -
GERMANY:
Neuer 7, Lahm 7, Hummels 7, Boateng 6, Höwedes 6, Schweinsteiger 8, Kramer 6, Müller 7, Kroos 7, Özil 7, Klose 6. Subs: Schurrle 8, Goetze 8, Mertesacker n/a.
ARGENTINA: Romero 6, Garay 6, Zabaleta 6, Demichelis 6, Rojo 6, Biglia 6, Perez 6, Mascherano 7, Lavezzi 6, Higuain 5, Messi 6. Subs: Aguero 6, Palacio 6, Gago 6.