BIASHARA MATANGAZO BWANA...

Haijalishi ni wapi, cha muhimu hapa ni kuwafikia wateja. Mtaalamu huyu katika kudhihirisha utandawazi, yeye kaamua kubandika kibao kinachotangaza biashara yake kwenye nguzo ya umeme jirani na kituo cha daladala Makumbusho kama kilivyokutwa na 'mzururaji' wetu leo mchana. Ukweli utabaki "Biashara Matangazo." (Picha na ziro99blog).

No comments: