DUKA LISILO RASMI...

Sijapata jina la haraka, ila we tambua kwamba ni "Duka lisilo rasmi." Kijana huyu alikutwa leo mchana akipanga bidhaa zake kwenye 'duka' lake lililopo kando ya Barabara ya Bagamoyo maeneo ya Sayansi. Ni duka maalumu kwa vifaa mbalimbali na urembo wa magari. Kazi kwenu wateja...

No comments: