Thursday, April 21, 2016

MTOTO WA MIEZI MITANO ANYOFOLEWA ‘KICHWA CHA PILI’ BAADA YA WAZAZI KURIDHIA UPASUAJI HATARI WA ASILIMIA 50/50



Mtoto aliyekuwa na uvimbe unaoonekana kama kichwa cha pili amenusurika kifo katika upasuaji wenye hatari kubwa uliodumu kwa masaa sita kuondoa uvimbe huo mkubwa, ambao madaktari awali walisema hauwezi kutibika.

MWALIMU WA KIKE AKABILIWA NA KIFUNGO KWA KUFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI WAKE


Mwalimu Cox alipokuwa akitoka mahakamani.

Mwalimu wa kike ambaye alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka 16 ametahadharishwa kwamba anakabiliwa na adahabu ya kifungo jela baada ya mahakama kuelezwa kwamba alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtoto huyo kwa kipindi cha miezi sita.

8 THINGS YOU DIDN’T KNOW ABOUT SOUTH AFRICAN AIRWAYS

South African Airways (SAA) has been at the centre of a debate over the viability of state-owned enterprises in South Africa, with the national carrier struggling to run without making a loss. The airline is one of the biggest on the continent, with numerous international routes allowing South Africans to travel globally thanks to SAA’s resources and partnerships with other airline groups. 
In this article we take a closer look at 8 things you may not know about South African Airways.   

YANGA YAWATOA KAMASI AL-AHLY KWAO, YAJIANDAA KUIVAA ESPERANCE...

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga SC imedhihirisha kwamba ni Bingwa wa Tanzania baada ya kukataa unyonge wa miaka mingi na kuibana vilivyo Al-Ahly ya Misri katika mechi ya marudiano hatua ya 16 Bora.

Wednesday, April 20, 2016

JICHO LA TATU...


WAAMBIE SIDANGANYIKI... DARAJA LA KIGAMBONI LIKO TANZANIA BHANA...

Daraja jipya la Kigamboni ambalo sasa litajulikana kama "Daraja la Nyerere" lililozinduliwa rasmi jana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt John Pombe Magufuli, kama linavyoonekana pichani.

BURIANI AZAM FC, YATANDIKWA MABAO 3-0 NA ESPERANCE...

Wawakilishi wa Tanzania Bara kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Azam FC usiku wa kuamkia leo wameyaaga mashindano hayo baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa timu ya Esperance ya Tunisia.