Monday, July 14, 2014

Wachezaji wa Ujerumani wakimpongeza mwenzao, Mario Gotze baada ya kuifungia timu yao bao la ushindi dhidi ya Argentina na kutwaa Kombe la Dunia sambamba na kunyakua zawadi ya kitita cha Dola za Kimarekani milioni 35.

No comments: