Monday, July 14, 2014

Mshambuliaji na nahodha wa timu ya Argentina, Lionel Messi akiwatoka mabeki wa Ujerumani katika mechi ya fainali ya Kombe la Dunia iliyochezwa Uwanja wa Maracana usiku huu. Ujerumani ilishinda bao 1-0 na kutawazwa mabingwa wa Kombe la Dunia 2014.

No comments: