| Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia Kombe la Dunia walilofanikiwa kutwaa baada ya kuwachapa Argentina kwa bao 1-0 lililofungwa dakika ya 116 ya muda wa nyongeza na Mario Gotze kwenye mechi ya fainali iliyomalizika muda mfupi uliopita katika Uwanja wa Maracana, nchini Brazil. |
No comments:
Post a Comment