Monday, July 14, 2014

Kiungo Mario Gotze akiifungia Ujerumani bao pekee lililoipa ushindi timu yake dhidi ya Argentina katika mechi ya fainali ya Kombe la Dunia iliyomalizika muda mfupi uliopita kwenye Uwanja wa Maracana.

No comments: