Watu wanne wakiwa na silaha
wamemvamia mfanyabiashara Maua Hamis
(30) mkazi wa kijiji cha Mtina kilichopo wilayani Tunduru na kumpora Sh milioni
3.8.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Mihayo Msikela alisema tukio hilo lilitokea juzi majira ya 6.55 usiku katika kijiji cha Mtina ambako Maua alikuwa amekwenda kununua mazao.Inadaiwa majambazi hao wanne walivunja mlango wa chumba alichokuwa amelala Maua wakamtisha na kumkatakata kwa panga kabla hawajatwaa fedha na kutoweka.

No comments:
Post a Comment