| Mchezaji wa Uholanzi, Georginio Wijnaldum (kulia) akishangilia na mwenzake, Jonathan de Guzman baada ya kuifungia timu yake bao la tatu dhidi ya Brazil kwenye mechi ya kutafuta mshindi wa tatu wa Fainali za Kombe la Dunia iliyochezwa usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Estadio Nacional mjini Brasilia. Uholanzi ilishinda mabao 3-0. |
No comments:
Post a Comment