Sunday, July 13, 2014

Nahodha wa Uholanzi, Robin van Persie akikumbatiana na kipa wake, Michel Vorm wakati wakitoka uwanjani baada ya kufanikiwa kuivurumusha Brazil mabao 3-0 na kushika nafasi ya tatu katika fainali za Kombe la Dunia mwaka huu, huku wachezaji wa Brazil wakiwa hawaamini kilichotokea. Kutoka kulia ni David Luiz, Oscar, Maicon na Hulk (kushoto).

No comments: