| Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na wazee Mohammed Sheupe (kushoto) na Seif Membe kutoka Jimbo la Ruangwa ambao walitembele Bunge mjini Dodoma kwa mwaliko wa Mbunge wao, Kassim Majaliwa, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa). |
No comments:
Post a Comment