| Meneja Masoko na Elimu kwa Umma wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Anjela Mziray akitoa ufafanuzi wa jambo kwa wananchi waliotembelea banda la mfuko huo wakati wa maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo. Wengine ni Luhende Singu na Geofrey Tumaini wakiendelea kutoa huduma. |
No comments:
Post a Comment