Friday, June 20, 2014

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, ACP Suzan Kaganda akiongoza mafunzo ya ulinzi shirikishi kwa vijana wa mkoani humo yaliyofanyika kwenye Shule ya Mshingi Idudumio iliyopo Tarafa ya Nyasa wilayani Nzega leo.

No comments: