Friday, June 20, 2014

Baadhi ya wahariri wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji mstaafu Damian Lubuva (hayupo pichani) mapema leo, Dar es Salaam wakati akifungua semina kwa wahiriri wa vyombo vya habari juu ya maandalizi ya uandikishwaji wapigakura nchini.

No comments: