Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe amesema kuwa baadhi ya sheria
mama, mila, desturi na baadhi ya dini nchini ni moja ya changamoto
zinazodidimiza maendeleo ya watoto wa kike.
Amesema changamoto hizo, zinafanya watoto wa kike, kushindwa kuendelea na masomo huku wakiolewa katika umri mdogo.
No comments:
Post a Comment