Friday, April 11, 2014

HUU NDIO MWAROBAINI WA AJALI ZA BARABARANI

Katika kutafuta mwarobaini wa ajali za barabarani, polisi imeanza kutumia kamera maalumu za kudhibiti mwendo kasi, zenye uwezo wa kupiga picha za mnato na video.

No comments: