Friday, April 11, 2014

MAFURIKO YASOMBA GARI, DEREVA ADANDIA KWENYE MTI

Dereva wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Juma Moshiamenusurika kufa maji baada ya gari alilokuwa akiliendesha kusombwa na mafuriko ya maji katika mto Malera, nje kidogo ya mji wa Karatu na yeye mwenyewe kupanda juu ya mti.

No comments: