Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kukamata silaha mbili za vita na risasi
40 zinazosadikiwa kutumika katika matukio mbalimbali ya kihalifu,
likiwemo la mauaji ya askari polisi mmoja lililotokea Machi 2, mwaka huu
huko kwenye Hoteli ya Kitalii ya Pongwe Bay mkoa wa Kusini Unguja
Zanzibar.
No comments:
Post a Comment