CHEKA KIMYA-KIMYA...

Babu mmoja baada ya kuibiwa nauli yake ndani ya daladala, akatangaza: "Jamani aliyeniibia nauli yangu arudishe haraka kabla sijafanya kama mwaka juzi!"
Kibaka aliyeiba akaogopa mno na kurudisha. Abiria wakamuuliza yule babu: "Kwani mwaka juzi ulifanyaje?" Babu akajibu: "Nilitembea kwa miguu kutoka Kariakoo mpaka Mbagala!" Duh...

No comments: