Sunday, July 7, 2013

HERI YA SIKUKUU YA WAKULIMA - SABASABA...

Mhariri na timu nzima ya ziro99blog tunawatakia wasomaji wetu na Watanzania wote kwa ujumla Heri ya Sikukuu ya Sabasaba. Mbali na hilo, pia ziro99blog inachukua nafasi hii kuwatakiwa Waislamu wote maandalizi mema ya Mfungo Mtukufu wa Ramadhani.

No comments: