ziro99blog
Thursday, June 13, 2013
CHEKA TARATIBU...
Jamaa wawili walikuwa safarini. Wakiwa njiani maeneo ya hifadhi ya Mikumi mmoja akamwambia mwenzake: "Unawaona wale Simba?" Mwingine akajibu: "Alaa! Kumbe wale ndio Simba? Sasa pale Kaseja ndio yupi?" Kasheshe...
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment