Monday, May 13, 2013

CHEKA TARATIBU...

Mlevi mmoja alikuwa akipita karibu na mkutano wa injili. Mara akasikia mhubiri akisema: "Walevi na wenye dhambi wote watakwenda motoni." Mlevi bila kuchelewa akajibu: "Poa tu. Na nyinyi mkipewa mahindi mabichi huko peponi msije kutuomba moto!" Balaa...

No comments: