| Hata kabla hajazaliwa, tayari ameshapewa jina la Kimye! Huyu si mwingine bali ni mtoto wa wasanii wawili maarufu wa muziki Marekani, Kanye West (juu kushoto) na Kim Kardashian (chini kushoto) ambaye anatarajiwa kuzaliwa hivi karibuni. Walimwengu wameona hiyo haitoshi kuelezea shauku yao, kwani sasa wameamua kabisaa kuandaa picha za mtoto huyo atakavyoonekana baada ya kuzaliwa. KATIKATI: Ni jinsi atakavyoonekana atakapofikisha umri wa miaka kumi na kitu... KULIA: Atakavyoonekana utotoni. Ama kweli dunia ni watu, na watu wenyewe ndio sisi! |
No comments:
Post a Comment