Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Said Amanzi akikabidhi bahasha yenye hundi ya ada ya miaka minne katika Shule ya Bweni ya Msalato mkoani Dodoma kwa mwanafunzi wa kike, Nyanjige Budodi (12) aliyeongoza katika matokeo ya mtihani wa taifa wa Darasa la Saba kwa Mkoa wa Morogoro.
|
No comments:
Post a Comment