TRAFIKI ANAPOKAMATA MAWINDO YAKE BARABARANI...

Askari wa usalama barabarani ambaye hakuweza kupatikana jina lake akisikiliza utetezi wa dereva wa gari lililokuwa likipita katika njia ya waenda kwa miguu kukwepa foleni Barabara ya Mandela eneo la Tazara, mchana huu. Imekuwa kawaida kwa askari hao kujificha eneo hilo kuvizia 'madereva wenye haraka' mara inapotokea foleni eneo inayosababishwa na malori yatokayo bandarini kama yanavyoonekana pichani chini. (Picha zote na ziro99blog).

No comments: