Katika mwaka 2000, mwanasoka O.J. Simpson alishindwa kulipa zaidi ya Dola za Marekani 300,000 za kodi kwa Jimbo la California ...hii ni kwa mujibu wa madai mapya yaliyofunguliwa dhidi yake.
Kwa mujibu wa nyaraka zilizowasilishwa hivi karibuni na Bodi ya Kodi katika Jimbo la California ... Simpson, ambaye kwa sasa anatumikia kifungo gerezani mjini Nevada kwa ujambazi ... bado anadaiwa Dola za Marekani 318,566.04 za malimbikizo ya kodi.
Iliripotiwa kwamba O.J. yuko kwenye matatizo ya kifedha ... kuna madai yamewasilishwa dhidi yake katika miaka ya 2007-2010, yanayofikia Dola za Marekani 179,435.07. Hiyo ni mbali na mamilioni ya fedha anayodaiwa na familia za Nicole Brown Simpson na Ronald Goldman kwa kusababisha vifo vyao.

No comments:
Post a Comment