Thursday, November 15, 2012

CHEKA TARATIBU...

Ilitokea katika miaka ya 1980 ambapo ikafika wakati wa kuwatambulisha viongozi wa Afrika waliokaa katika meza kuu kwenye Mkutano wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU). Akaanza kama ifuatavyo, "Nyerere Kaunda Banda Azikiwe Samora." Ajabu iliyoje...

No comments: