Tuesday, November 20, 2012

UNAMKUMBUKA RAH P? HUU NDIO MKASA WAKE ULIOMKUTA ULAYA...


  
Msanii wa Bongo Flava Rah P ambaye alitimkia Ulaya miaka kadhaa iliyopita na kukumbana na mikasa ambayo si rahisi kusahaulika kichwani mwake. Kwa sasa ni mama wa watoto wawili, na hapa anasimulia yaliyomfika akiwa ughaibuni.

No comments: