![]() |
| Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Jakaya Kikwete akisisitiza jambo wakati wa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa chama hicho mjini Dodoma mapema leo. |
![]() |
| Sehemu ya wajumbe waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma, mapema leo wakifuatilia hotuba ya ufunguzi iliyotolewa na Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete. |


No comments:
Post a Comment