Jamaa wawili walikuwa wakizungumza kuhusu kazi, ndipo mmoja alipouliza, "Niambie, kwanini msimamizi wako kakufukuza kazi?" Mwenzake akajibu, "Unajua jinsi msimamizi anavyosimama akitazama wengine wakifanya kazi. Msimamizi wangu akaona wivu. Watu walianza kufikiria mimi ndiye msimamizi!" Kasheshe...
No comments:
Post a Comment