Tuesday, November 20, 2012

MAKWETTA AAGWA, ASAFIRISHWA NJOMBE KWA MAZISHI...

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Jackson Makwetta nyumbani kwake Bunju, Dar es Salaam jana kabla ya kusafirishwa kupelekwa Njombe kwa maziko.

No comments: