HAKIKA HILI NALO NENO! Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Dk Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa kufunga Mkutano Mkuu wa chama hicho kwenye Ukumbi wa Kizota, nje kidogo ya mji wa Dodoma jana. Pamoja na mengine mengi, kwa mtazamo wetu hili ndilo lililovutia zaidi.
No comments:
Post a Comment