Saturday, November 24, 2012

CHEKA TARATIBU...

Baba mmoja kutoka familia ya wapenda sifa kamwambia mtoto wake aombee chakula mbele ya wageni. Mtoto akaanza hivi: "Eeh Mungu naomba uwape chakula wageni hawa makwao ili waache tabia ya kuja kula hapa. Uwape masikini mavazi wasiwe kama wale madada wasio na nguo kwenye simu ya baba. Uwape nyumba wale wanaume wote wanaokujaga kulala hapa wakati baba akiwa kasafiri uwawezeshe wajenge za kwao waache kumsumbua mama, Amen!" Balaa...

No comments: