Kuna makabila kwa mbwembwe hayawezekani! Jamaa mmoja Mhaya ambaye ni mhudumu wa mochwari kapewa nafasi ya kujitambulisha katika moja ya vikao vya harusi ya rafiki yake. "Naitwa Muganyizi. Nafanya kazi Hospitali ya Taifa Muhimbili. Kitaaluma mimi ni Mtaalamu ninayehudumia wagonjwa ambao madaktari bingwa wameshindwa kuokoa maisha yao!" Kasheshe...

No comments:
Post a Comment