MELI YA AZAM SEALINK 1 MKOMBOZI WA WAKAZI WA UNGUJA NA PEMBA...
Muonekano wa meli mpya ya SEALINK1inayomilikiwa na kampuni ya Azam Marine ambayo ina uwezo wa kubeba abiria 1500 na mizigo. Meli hii inatarajiwa kuanza safari za kati ya Dar es Salaam-Unguja na Pemba hivi karibuni baada ya kukamilisha taratibu mbalimbali za usajili. Itakuwa ikitumia masaa matatu kati ya Dar es Salaam na Unguja. Pia itatumia masaa manne kati ya Unguja na Pemba, hivyo kufanya jumla ya masaa saba kutoka Dar es Salaam hadi Pemba.
No comments:
Post a Comment