Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya usafiri wa anga ya Precision Air, Alfonse Kioko (katikati) akikabidhiana mkataba na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Tumaini la Maisha, Blandina Lugendo baada ya kusaini mkabata ambao utawezesha kampuni hiyo kutoa tiketi mbili kila mwezi za kuwasafirisha watoto waishio na ugonjwa wa saratani kupata matibabu. Kulia ni Daktari bingwa wa saratani ya watoto wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dk. Trish Scanlan.
No comments:
Post a Comment