BENDI MPYA YA SKYLIGHT YAJA KUWASHIKA SIKUKUU YA IDD EL FITRI...
Wanamuziki wa bendi mpya ya Skylight wakitumbuiza wakati wa kuitambulisha bendi hiyo kwa waaandishi wa habari Dar es Salaam mapema leo. Bendi hiyo yenye wasanii wazoefu inatarajia kutumbuiza katika hoteli ya Giraffe sikukuu ya Eid El Fitri.
No comments:
Post a Comment