Ofisa Mkuu Mtendaji wa NMB, Mark Wiessing (kulia) akizungumza na waandishi wakati wa kutangaza majina 15 ya Mama Shujaa wa Chakula kwa kushirikiana na Maisha Plus na Oxfam, Dar es Salaam jana. Wengine ni Mkurugenzi wa Maisha Plus, Ally Masoud 'Kipanya' (kushoto) na Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam, Monica Gorman.

No comments:
Post a Comment