Thursday, August 23, 2012

MTANGAZAJI "KAMBI POPOTE" ATUNUKIWA CHETI NA BODI YA UTALII...

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Aloyce Nzuki akikabidhi cheti kwa Mtangazaji wa Kipindi cha "Kambi Popote" kinachorushwa na Clouds Tv, Juma 'Antonio' Nugaz (kulia) kwa kutambua mchango wake katika kuutangaza Utalii wa Ndani, Dar es Salaam jana. Wawakilishi watatu walikabidhiwa vyeti hivyo na watakwenda kutembelea Hifadhi ya Akiba ya Selous.

No comments: