Wednesday, August 8, 2012

MRADI WA MABASI YA HARAKA DAR HAKUNA KULALA...


Mafundi wa kampuni ya ujenzi ya Strabag wakiendelea na ujezi wa kituo cha mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART) cha Kagera, Dar es Salaam leo.

No comments: