Wednesday, August 8, 2012

USALAMA BARABARANI...


Mwendesha Bodaboda  aliyekuwa akienda kwa mwendo kasi akiwa amefunga breki ghafla baada ya kuona kichwa cha treni kikipita katika makutano ya reli na barabara ya nyerere  eneo la Banda la ngozi, Dar es Salaam leo. Mwendesha pikipiki huyo alikuwa amefungulia muziki sauti ya juu hali iliyomfanya asisikie honi ya treni hiyo.

No comments: