Saturday, August 11, 2012

CHEKA TARATIBU...

Mume kampigia simu daktari kumpa taarifa ya hali ya mkewe aliyekuwa mjamzito. "Dokta habari yako? Mke wangu analalamika maumivu ya tumbo, nadhani anakaribia kujifungua." Dokta akajibu upande wa pili, "Mtoto wake wa kwanza?" Mume kwa ukali akajibu, "Shika adabu yako wewe, sio mtoto wa kwanza mimi ni mumewe!" Kasheshe...

No comments: