Saturday, August 11, 2012

WASHINDI PROMOSHENI YA SHINDA BAB-KUBWA NA ECOBANK WAKABIDHIWA ZAWADI...


Mkuu wa Masoko wa Ecobank, Andrew Lyimo (kushoto) akimkabidhi mmoja wa wateja wa benki hiyo, Pasiensia Luena baada ya kushinda vocha ya manunuzi yenye thamani ya Shilingi 500,000 katika hafla ya kuwakabidhi washindi 15 wa Promosheni ya Shinda Bab-Kubwa na Ecobank' Dar es Salaam jana.

No comments: