Saturday, June 2, 2012

SABABU ZA NDOA YA JOHN CENA KUVUNJIKA ZAANIKWA...


Imebainika sababu za ndoa ya John Cena na mpenzi wake wa siku nyingi tangu shuleni kuvunjika ni ukarabati wa nyumba yao ambao umewalazimu kwenda kuishi katika nyumba ya hadhi ya chini mno.
Ilielezwa , Cena alidai talaka kutokana na kutokubaliana na uamuzi wa ukarabati huo, akidai umesababisha ugomvi mkubwa kati yake na mkewe.
Nyaraka zilizopatikana zimeonesha jinsi hali ilivyo mbaya huku mmoja wa makandarasi akiorodhesha gharama zinazofikia Dola la Marekani 11,000, anazodai hajalipwa kutokana na kazi aliyomfanyia Cena.

No comments: