Saturday, June 2, 2012

NESTLE TANZANIA YAKABIDHI ZAWADI KWA YATIMA...


Meneja wa Sayansi na Uthibiti wa Nestle Tanzania, Marsha Yambi (katikati) akikabidhi zawadi  kwa watoto wa kituo cha watoto yatima cha CHAKUWAMA ikiwa ni moja ya sehemu ya  maadhimisho ya Siku ya Maziwa Duniani pamoja. Wengine ni mlezi wa kituo hicho (kushoto) pamoja na maofisa wakuu wa biashara kutoka Kampuni ya Nestle Tanzania ambayo pamoja na bidhaa nyingine huzalisha pia maziwa ya Nido.

No comments: