Gari dogo la mizigo likiwa limesheheni mzigo wa nyasi za kulishia ng’ombe maeneo ya Chamazi kuelekea Mbagala, Dar es Salaam leo mchana kiasi cha kumziba dereva kuweza kuona magari yanayotoka nyuma yake jambo ambalo ni la hatari kwa usalama wake na watumiaji wengine wa barabara.
No comments:
Post a Comment