Monday, June 4, 2012

PICHA YA ANGANI ENEO ILIPODONDOKA NDEGE...


Taarifa zilizopatikana baadaye kutoka eneo la ajali zinasema kwamba mbali na abiria hao 153 waliokufa, pia miili ya watu 100 imepatikana ambayo inaaminika ni ya watu waliokuwa ardhini walioangukiwa na ndege hiyo.

No comments: