Sunday, June 24, 2012

NMB YAKABIDHI VIFAA KWA AJILI YA BONANZA LA MICHEZO...

Meneja Mwandamizi wa Huduma kwa Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia)  akikabidhi vifaa vya michezo kwa Mkuu wa Polisi Wilaya Kati, SSP Susan Kaganda kwa ajili ya bonanza la michezo. Kulia ni Meneja wa Masoko wa benki hiyo, Shilla Senkoro na Mkuu wa Kituo cha Kati, SP Samwel Gunda. 


No comments: